Posts

Showing posts from May, 2026

THE FREAK!

Image
 

SOME CHINESE ADVERBS

Image
 

THE WEIRDNESS OF THE WORD ONLY

Image
 

UCHAGUZI WA AJABU

Image
  SEHEMU YA NNE Eneo lilipambwa vizuri kumshawishi yeyote kusogea karibu kujua kulikuwa na nini. Baadhi ya watu walikuwa wamekaa katika viti vyao kwa umakini kabisa wakifuatilia kilichokuwa kinaendelea mbele yao katika jukwaa dogo la ngazi tatu lililopambwa kwa vitambaa vyeupe vyenye nembo ya Giazi. ‘Ndugu zangu, tayari nimeshaongea mengi, sitaki niendelee kuwachosha zaidi. Naomba nimkaribishe mheshimiwa rais aseme nanyi.’ Aliongea Christopher na kukabidhi maiki. ‘Leeleeeleee! Leeeeleeleee! Leeeeleeeeleeeee!’ Sauti za vigelegele zilipigwa na wasichana. Walikuwa na nyuso za furaha wakimshangilia rais wao. Walikuwa wako tayari kumsikiliza kwa ajili ya maendeleo ya chuo chao. ‘Kooh! Koooh!’ Alipanda jukwaani akakohoa kidogo kuweka sawa koo lake. ‘Jamali oyeeee! Jamali safiii! Uchaguzi oyeee! Uchaguzi saaafiii! Giazi oyeeee! Giazi saaafiiii!’ ‘Oyeeee! Saafiii! Leeleelee! Looloo’ Sauti za wasichana zilifunika za wavulana. Kila mara Jamali alisema sauti hazitoshi. Hawakuweza ku...

FIVE IMPORTANT THINGS TO PROVIDE FOR YOUR LEARNER

Five important things to provide for your learner: 1. Survival, a learner should feel comfortable during the learning session such that a teacher has to understand the exactly learning modality. 2. Belonging, a teacher has to show positive response to his/her students regardless of their weakness, here a teacher should not be the one who discourage the learner by telling them words like..."For your trends of results you won't succed even when you will increase efforts" 3. Freedom, students or learners have to be given freedom to talk about their experience on the subject matter, as a teacher give your students a freedom of asking questions and answering questions according to their understanding. 4. Power, as a teacher your supposed to give your students a time to think for themselves and expose their ideas, make them autonomy so that they might not depend on you in each and every thing. 5. Fun, a teacher has to be very fun regarding the level of education... sometimes a ...

SECRETS OF SUCCESS

1. Sleep less. This is one of the best investments you can make to make your life more productive and rewarding. Most people do not need more than 6 hours to maintain an excellent state of health. Try getting up one hour earlier for 21 days and it will develop into a powerful habit. Remember, it is the quality not the quantity of sleep that is important. And just imagine having an extra 30 hours a month to spend on the things that are important to you. 2. Set aside one hour every morning for personal development matters. Meditate, visualize yourday, read inspirational texts to set the tone of your day, listen to motivational tapes or read greatliterature. Take this quiet period to vitalize and energize your spirit for the productive day ahead.Watch the sun rise once a week or be with nature. Starting the day off well is a powerful strategy for self-renewal and personal effectiveness. 3. Do not allow those things that matter the most in your life be at the mercy of activities thatmatter...

MADHARA YA UPOFU WA FIKRA

Image
Tazama picha hapo chini kwa makini 👇 Madhara ya upofu wa fikra! Umegundua nini katika picha hapo juu baada ya kuitazama kwa umakini? Katika picha hii kuna vitu vya msingi vifuatavyo; 1) Farasi 2) Kamba iliyomfunga farasi 3) Kiti 4) mazingira jirani Ufafanuzi wa picha 1) Je! Farasi ni nani? Katika picha yetu, farasi ni mtu yeyote mwenye hofu ya kufanya jambo ambalo kwa macho yake ya kawaida analiona ni kubwa na gumu mno, tofauti na uhalisia wa hilo jambo.  Kwa maana laiti huyo farasi angefumbua macho na kukiona kinachomzuia, angekwisha ondoka mahali hapo haraka sana na kwenda kwenye malisho. Watu kama huyu farasi muda mwingi huwa na hofu, hawajiamini, na hawana mawazo yanayozarisha au kujenga mambo makubwa (productive thoughts). Ushindi kwao ni kitu adimu sana, lakini kushindwa ndiyo sehemu kubwa ya maisha yao! Usiwe miongoni mwa farasi hawa. 2) Je! Kamba ni nini? Kamba ile iliyomfungia farasi ni hofu (fear), kukosa kujiamini (lack of confidence), na upofu wa fikra (mind blindness)...

UCHAGUZI WA AJABU

Image
SEHEMU YA TATU ‘Bro, kwanini tusiachane tu na haya mambo?’ Aliuliza kwa huzuni Masenyi Kaunda baada ya ukimya mfupi tangu aingie chumbani kwa Abdul Makame. Makame alimtazama rafiki yake kwa sekunde kadhaa. ‘What’s wrong my friend?’ ‘Huu uchaguzi siuelewi kabisa!’ ‘Y’ ‘Naona huu uchaguzi ni wa upande mmoja tu, hauhitaji upinzani. Hatuungwi mkono na uongozi wa Chuo. Ni zaidi ya mara elfu moja nimepata taarifa za Jamali kuitwa na Makamu Mkuu wa Chuo, bila shaka ameandaliwa tayari kuwa kiongozi wa chuo hiki, tutafanyaje?’ ‘Kaunda, usijali rafiki yangu, nchi yetu ni ya kidemokrasia ndiyo maana tuko vyama tofauti lakini tunagombea pamoja. Uchaguzi wa chuoni una utofauti mkubwa sana na uchaguzi wa nchi, hakuna siasa zozote!’ ‘Eti umesemaje? Ndivyo hivyo ulivyosema? Au mimi ndiye nimekusikia vibaya? Naona aliyekudanganya hakuna siasa kwenye chaguzi za vyuoni ameshakufa kwahiyo hakuna tena wa kukutibu. Siasa zipo sema tu wewe ndiye bado uko nyuma, you have got much to learn! Now k...