JINSI YA KUMWAMBIA MTU UNAMPENDA
MIFANO 7 YA JINSI YA🌹 KUMWAMBIA MTU UNAMPENDA❤️😘 KWA MARA YA KWANZA 1. Kwa Lugha ya Wazi na ya Dhati Njia ya wazi na ya moja kwa moja Toka nimeanza kukufahamu, maisha yangu yamebadilika na kuwa na furaha sana. Nataka ujuwe leo kuwa 🌹❤️nakupenda kwa dhati na ningependa tuwe pamoja. 2. Kwa Kuonyesha Amani Anayokupa Njia ya kutumia hisia na amani ya 🫶moyo Uwepo wako kwenye maisha yangu unanipa amani ambayo sijawahi kuihisi mahali pengine popote. Moyo wangu umechagua kuwa wako, nakupenda sana. 3. Ujumbe Fupi wa Mahaba Njia ya fupi na yenye msisimko Siwezi kuendelea kuficha hisia zangu tena. Wewe ni mtu wa kipekee sana kwangu na nakupenda kutoka dimbwi la moyo wangu💝. 4. Kwa Lugha ya Kingereza Njia ya kiingereza (English Touch) I have been holding these feelings for so long, but today I want you to know the truth. I love you😘, and you mean the world to me. 5. Kwa Kutaja Thamani Yake Kwako Njia ya kumweleza jinsi anavyokuvutia. Kila siku inayopita inanifanya nigundue ...